Wed, Feb 05, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi amepokea ugeni kutoka kampuni ya OUR World Zanzibar, inayojishuhulisha na Uwekezaji huru wa kidigitali.
Kampuni hiyo imeonesha nia ya kushirikiana na Taasisi ya Karume na kupeana uzoefu katika kazi mbalimbali za kidigitali.