Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndug, Khamis Abdulla Said akiwa katika Picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), na  Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa ICECCME

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndug, Khamis Abdulla Said akiwa katika Picha ya pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), na Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa ICECCME

Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), ukiwa katika picha ya pamoja na Kampuni ya Tecle Motos Rio kutoka nchini Brazil baada ya mazungumzo mafupi kuhusu ushirikiano katika suala zima la Sekta ya usafiri ukiwemo usafiri wa Magari ya umeme.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali katika hafla ya ufunguzi wa Tawi la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Kisiwani Pemba.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Kisiwani Pemba hafla iliyofanyika viwanja vya Mnazimmoja Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.

OUR TOP TEAM

deputy-principal-administration
Dr.Mzee Mustafa Mzee
DEPUTY PRINCIPAL ADMINISTRATION
deputy-principal-academic
Dr.Khamis Khalid Said
DEPUTY PRINCIPAL ACADEMIC
BACK GROUND OF KARUME INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY

Karume Institute of Science and Technology (KIST) is a parastatal organization under the Ministry of Education and Vocational Training. It is entrusted with the responsibility of preserving, enhancing, transmitting, and disseminating knowledge in science and technology by teaching, conducting research, and consultancy in various fields in the country.

KIST was established by Act No.2 of House of Representative of Zanzibar of 2009 as a successor to Karume Technical College (KTC) and became operational on 3rd October 2009. In 2002 KIST the then KTC was full registered by NACTE (National Council for Technical Education) and has the mandate to grant awards on Basic Technician Certificate (NTA Level 4), Technician Certificate (NTA Level 5), Ordinary Diploma (NTA Level 6), and Bachelor degree (NTA Level 8) in eleven (11) fields: Bachelor of Civil Engineering, Bachelor of Electrical and Electronics Engineering, Aircraft Maintenance Engineering and Pilot Studies, Automotive engineering, Civil & Transportation engineering, Computer engineering, Electrical engineering, Electrical with Renewable energy engineering, Electronics & Telecommunications Engineering, Information Communication Technology with Business, Mechanical engineering, Mechanical engineering with Oil and Gas, Laboratory Technicians, and Teachers’ Vocational Education and Training.

KIST maintains a system of collaboration, consultation, and cooperation with other parties within and outside the country whose functions relate to the application of science and technology for the development of the country.

Our Mission

To promote the development and usage of appropriate technology that meets national and regional needs and standard through skills and practical oriented training research and consultancy.


Our Vision

KIST is an innovative leader that creates effective learning enveronment, enhances individual success, promote economic vitality and provide opportunities for lifelong technical education.



Why Choose Us?

Perfection and recognized Instructor

Globally recognised teaching and research