Sun, Dec 22, 2024
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Hafla ya utoaji Vyeti na Ripoti ya utafiti wa kuboresha Usafiri wa kisasa wa abiria (Daladala), Zanzibar uliyoshirikisha Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), pamoja na Kampuni ya IDOM kutoka SPAIN, Mgeni rasmin katika hafla hiyo ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Nadir Abdullatif Yussuf.