Thu, Oct 23, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume (KIST) umekutana na Kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Finland, uliofika kwa lengo la kupokea maoni na kubadilishana uzoefu katika masuala mazima ya ukarabati, uhifadhi na uendelezaji wa Miji ya Kale.