Fri, Jul 04, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Chuo Kikuu cha Tsingua kilichopo nchini China, kimefika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), na kufanya mazungumzo ya pamoja yanayohusu utambulisho wa Taasisi ya Karume pamoja na Chuo kikuu cha Tsingua kwa lengo la kujuwa mambo mbali mbali ya kitaaluma.