Mon, Dec 01, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), leo tarehe 20/11/2025, umezungumza na Wanafunzi wapya waliyojiunga na Taasisi ya Karume, kwa mwaka wa masomo 2025-2026 ikiwa ni Orientation week katika Taasisi ya Karume iliyopo Mbweni Zanzibar.
Uongozi wa Taasisi umewataka Wanafunzi hao kusoma kwa bidii na kufuata sheria za chuo zilizowekwa ili kutimiza lengo walilokusudia.