Wed, Feb 11, 2026
  Email: info@kist.ac.tz    
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya karume (KIST) umeonana na kufanya mazungumzo na Dkt. Monerr Almaskary kutoka Chuo cha Modern College of Business and Science (MCBS) kilichopo nchini Oman.
Lengo ni kujadili namna ya kujenga mashirikiano ya kitaaluma kati ya Chuo cha KIST na MCBC ili kuona uwezekano wa kuanzisha programu za Post graduate kupitia njia ya Mtandao.