Wed, Jan 15, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Uongozi wa Taasisi ya Karume leo umekutana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Biomedical Engineering Technology Aid International (BETA), Bw.Dan Schuster ambae amefika kwa lengo la kufanya mazungumzo ili kuona namna ya kuisaidia Taasisi katika upatikanaji wa vifaa vya kufundishia fani ya Uhandisi wa Vifaa Tiba (Biomedical Engineering).