Fri, May 09, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Wanafunzi wa Mafunzo ya Amali (KVT), kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosomea Ufundi Umeme wakijifunza kwa Vitendo jinsi ya kufanya installation ya kuendesha motor (machine) mbili kwa wakati mmoj au kwa moja moja.