Fri, May 09, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Wanafunzi wa Mafunzo ya Amali (KVT), kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosomea Ufundi Ujenzi wakijifunza kwa Vitendo jinsi ya kupima Kiwanja kwa ajili ya ujenzi.