Sun, Dec 22, 2024
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
MAONESHO YA BIASHARA NYAMANZI.
Wananchi pamoja na Viongozi kutoka maeneo mbali mbali wamefika katika Banda la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), ili kujionea ubunifu uliyofanywa na Wanafunzi wa Chuo cha Karume, katika maonesho ya kumi ya Kitaifa ya Biashara yanayoendelea Nyamanzi Zanzibar.
KARIBU KATIKA BANDA LETU TUKUHUDUMIYE TUPO NYAMANZI.