Mon, May 12, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Wakufunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), kutoka Idara ya Umeme wakipewa mafunzo kuhusu utumiaji wa Vifaa mbali mbali vya kufundishia Wanafunzi wanaosoma fani ya Electrical and Biomedical Engineering.