Tue, Jan 28, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) Zimetiliana Saini Mkataba wa Kutoa Mafunzo ya Ufundi wa Simu kwa Vijana 55 wa Zanzibar, kwa upande wa Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na uwekezaji saini hiyo imewekwa na Katibu Mkuu Bw. KHAMIS MWALIM na kwa Upande wa Taasisi ya Karume imewekwa na Mkuu wa Taasisi Dkt. Mahmoud A. Alawi.