Fri, Jul 04, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST)), imepokea ugeni kutoka Chuo Cha Huazhong University of Science and Technology (HUST), Kutoka WUHAN) Nchini China na kufanya mazungumzo kuhusu mashirikiano ya Kitaaluma.