Fri, Apr 04, 2025
Email: info@kist.ac.tz
Phone: +255 712-779-267
Mwanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), akitoa maelezo ya Project ya Ndege kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na Viongozi mbali mbali katika mahafali ya 10 ya Taasisi ya Karume yaliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni, Zanzibar.