Recent News

MAFUNZO YA TEHAMA KIST.

2023-10-05 13:06:45 category

Wakufunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakipatiwa Mafunzo maalum kuhusu Mfumo mkuu wa Tehama na uelewa wa usalama wa mfumo huo katika Ukumbi wa Dkt. Idrissa Muslim Hijja uliopo Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.

Mafunzo hayo yamefunguliwa na Naibu Mkuu wa Taasisi, Taaluma, Utafiti, Ubunifu na Ushauri elekezi katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST). Dkt. Khamis Khalid Said.