Wed, Jun 18, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), DKT. Mahmoud Abdulwahab Alawi akipokea Zawadi kutoka kwa Muwakilishim wa Chuo Cha Huazhong University of Science and Technology (HUST), Kutoka WUHAN) Nchini China baada ya mazungumzo yanayohusu ushirikiano wa Kitaaluma.