Fri, Jul 04, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungunza katika mahafali ya 10 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), yaliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni, Zanzibar.