Sat, Dec 21, 2024
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wanafunzi kutoka Skuli ya Benbella pamoja na Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wamefika katika Taasisi ya Karume katika maonesho ya wiki ya ubunifu ya Chuo hicho.
Pia wamepata kuona kazi mbalimbali za ubunifu zilizofanywa na Wanafunzi wa Taasisi ya Karume pamoja na kupata maelezo kuhusu kazi hizo.
Maonesho hayo ni katika shamra shamra za kusheherekea miaka 50 ya Idara ya Uhandisi Ujenzi (CIVIL ENGINEERING). yaliyoanza leo tarehe 20/08/2024 katika Viwanja vya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Mbweni Zanzibar.