Tue, Jan 28, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wawakilishi kutoka Chuo Cha Huazhong University of Science and Technology (HUST), Kutoka WUHAN) Nchini China pamoja na Wageni wengine wamefika katika maonesho ya wiki ya Ubunifu yanayoendelea katika Viwanja vya Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar na kupata maelezo kuhusu kazi mbalimbali za ubunifu zilizofanywa na Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), ikiwa ni shamra shamra za kusheherekea miaka 50 ya Idara ya Uhandisi Ujenzi (CIVIL ENGINEERING).