Wed, Feb 05, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wakufunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), kutoka Idara ya Sayansi wakipatiwa mafunzo kwa njia ya Vitendo jinsi ya kutumia Mashine mbali mbali za kusarifu mazao ya Baharini, Matunda, Nafaka pamoja na vyakula (Fruit and Vegetable Processing and Aquatic Product Processin) katika Wakshop ya Sayansi iliyopo Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.