Sat, Jan 04, 2025
Email: info@kist.ac.tz
Phone: +255 712-779-267
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa akimpa maelekezo Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST)), Dk. Mahmoud Abdulwahab Alawi katika Sherehe za Kuadhimisha Miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) zilizofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Zanzibar.