Thu, Mar 13, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma Kozi ya umeme na Vifaa Tiba,wamefanya Mtihani wa Vitendo jinsi ya kutengeneza CIRCUII za Electronic kwa ajili ya kuboresha mashine za Hospitali.