Sun, Feb 09, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Tarehe 27/01/2025, Naibu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Utafiti, Ubunifu na Ushauri Elekezi Dkt. Khamis Khalid Said ametembelea Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaofanya Mitihani ya Semista ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025, ikiwa ni wiki ya kwanza ya Mitihani hiyo.