Sun, Dec 22, 2024
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Harusi Said Suleiman akipanda Mti katika eneo la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Mbweni Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa uhamasishaji wa upandaji Miti Kitaifa.