Fri, Jan 03, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Tarehe 05/02/2024, Viongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wametembelea Wanafunzi wanaofanya Mitihani ya Semista ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2023/2024, ikiwa ni wiki ya kwanza ya Mitihani.