Mon, Jan 19, 2026
  Email: info@kist.ac.tz    
MAONESHO YA BIASHARA – NYAMANZI.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wametembelea Banda la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) kwa lengo la kupata maelezo mbali mbali ya kozi zinazotolewa katika Taasisi ya Karume, pamoja na kujionea bunifu zilizofaywa na Wanafunzi.
Karibu katika banda letu tukuhudumie.