KIST WAMETIA SAINI HATI ZA MASHIRIKIANO YA KITAALUMA (MOU),NA CHUO CHA MUST.

2024-07-24 11:17:58 category

Baadhi ya Waalikwa waliyohudhuria katika hafla ya utiaji Saini hati za Mashirikiano ya kitaaluma (MOU), baina ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST),  na Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), hafla iliyofanyika Ofisi ya Mkuu wa Chuo Cha MUST. ambae pia ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya awamu ya Sita Mhe. Dk. Amani Abeid Karume huko Mazizini Zanzibar.