Thu, Feb 12, 2026
  Email: info@kist.ac.tz    
leo tarehe 12/02/2026, Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), kupitia Idara ya Utafiti, Ubunifu na Ushauri Elekezi imefanya kikao na Wadau mbali mbali, lengo ni kujadili, kutoa maoni pamoja na mapendekezo yatakayowezesha kutimia kwa Sera ya haki miliki ya kazi za Ubunifu na Tafiti za Wanafunzi wanaosoma katika Taasisi ya Karume.