Fri, Jul 04, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Viongozi mbali mbali na Waalikwa wakipata Maelezo kuhusu Vifaa na Project zilizofaywa na Wanafunzi wanaosoma fani ya Aircraft Maintenance Engineering, wakati walipotembelea Banda la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karumé (KIST), Katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji Zanzibar, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.