Mon, Feb 10, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), imepokea Vifaa mbali mbali vya kufundishia Wanafunzi wanaosoma fani ya Biomedical Engineering.
Vifaa hivyo vimetolewa na Taasisi ya BETA Aid (Biomedical Engineering Technology Aid) kutoka nchini Marekani, na vitasaidia Wanafunzi kujifunza kwa vitendo jambo ambalo litapelekea kupata wataalamu wazuri katika masuala ya tiba.