Thu, Feb 12, 2026
  Email: info@kist.ac.tz    
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), kupitia Idara ya Mawasilino ya Anga, Electroniki na Kompyuta leo tarehe 11/02/2026, imefanya kikao cha kupitia Mtaala wa Fani ya Information Communication Technology and Business, lengo ni kujadili, kutoa maoni pamoja na mapendekezo yatakayowezesha kuboresha Mtaala wa Fani hiyo ili uendane na wakati.