Recent News

WANAFUNZI WA KVT (KIST), WAJIFUNZA KWA VITENDO.

2023-10-06 07:49:35 category

Wanafunzi wa  Mafunzo ya Amali (KVT), kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosomea Ufundi Umeme wakijifunza kwa Vitendo jinsi ya kufanya installation ya kuendesha motor (machine) mbili kwa wakati mmoj au kwa moja moja.