Fri, May 09, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Mwanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), akitoa maelezo ya Project ya Viatu kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na Viongozi mbali mbali katika mahafali ya 10 ya Taasisi ya Karume yaliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni, Zanzibar.