Mon, May 12, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi, akimkabizi Zawadi aliyekuwa Mkufunzi wa Taasisi ya Karume , Bw. Walid K. Mohammed, katika hafla ya kumuaga , baada ya kumaliza utumishi wake, hafla iliyofanyika katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanziabr.