Recent News

DKT.PHILIP MPANGO AONGOZA UHAMASISHAJI UPANDAJI MITI KITAIFA KIST.

2024-02-09 12:00:11 category

Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipanda Mti katika eneo la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Mbweni Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa uhamasishaji wa upandaji Miti Kitaifa.