Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Fri, Aug/12, 2022

Timu ya Mageuzi ya Elimu yafika KIST

Kikosi kazi cha Serikali cha Mageuzi ya Elimu kimefika katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST) na kukutana na wakufunzi wa Taasisi ya Karume kwa lengo la kukusanya maoni na mapendekezo juu ya mageuzi ya elimu kwa upande wa vyuo vya ngazi ya kati, kikosi kazi hicho kiliongozwa na Professor Idrissa Rai ambae ni Mwenyekiti wa Kikosi kazi hicho.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events