Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Fri, Nov/05, 2021

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (CALL CENTER) KWA WAHITU WA KIST TU

TAASISI YA KARUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (KIST).

INAWATANGAZIA WAHITIMU WOTE WALIOMALIZA MASOMO YAO

KATIKA TAASISI YA KARUME NA WANAOTAKA KUFANYA KAZI YA UWAGENT (CALL CENTER) KATIKA KAMPUNI YA ZANTEL,

KUTAKUWA NA INTEVIEW SIKU YA JUMA TATU YA TAREHE 8-11-2021 SAA 3:00 ZA ASUBUHI.

 HAPO TAASISI YA KARUME. WATAKAO SHIRIKI KATIKA INTERVIEW HIO WANAOMBWA KUJA NA CV PAMOJA NA COPY YA VYETI VYA KUMALIZIA MASOMO.

INASISITIZWA KUFIKA KWA WAKATI.

AHSANTE.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events