Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Fri, Aug/12, 2022

HATIMAYE UWASILISHWAJI WA MUONGOZO WA MIRADI KWA HATUA YA KWANZA UMEKAMILIKA KIST

Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt, Mahmoud Abdulwahab,akizungumza  katika hafla ya uwasilishwaji wa  Muongozo wa Miradi kwa hatua ya kwanza uliyofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja Mbweni Zanzibar, ambapo uwasilishwaji huo ulifanywa na Mtaalamu wa mambo ya Miradi Dkt. Masoud Rashid Mohamed.

 

Latest News

More

Upcoming Events

More Events