Posted: Thu, Dec/01, 2022
WADAU KUTOKA IDARA YA CIVIL ENGINEERING WAMEJADILI KUBORESHA IDARA YA CIVIL KIST.

Wadau wa Idara ya Civil Engineering kutoka Taasisi tofauti wakiwa katika Kongamano la Miaka 50 ya Idara ya Civil Engineering , katika Kongamano hilo walijadili namna gani wanaweza kuiboresha Idara ya Civil katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST) ili waweze kuleta mabadiliko ya Miundombinu ya Majengo ya Idara hiyo katika Taaasisi ya karume.
Kongamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hija katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.
Latest News
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
KIST YAPOKEA TUNZO.
Posted: Fri, Nov/04, 2022 -
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
APPEAL FORM
Posted: Fri, Aug/05, 2022 -
-
-
-
-