Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Fri, Aug/12, 2022

KIST YAPOKEA UGENI BALOZI WA HESHIMA WA BRAZIL

Balozi wa Heshima wa Brazil - Zanzibar Abdulsamad  Abdulrahim ametembelea Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), kwa lengo la kufanya mazungumzo na kuona namna  ya kusaidia Taasisi hiyo katika masuala ya Elimu.

 Pia Balozi  huyo alifanya Ziara   ya kutembelea Maeneo  mbali mbali ya Taasisi hiyo, miongoni mwa maeneo hayo kama vile Hanga la Matengenezo ya Ndege, Maabara ya Umeme na Nishati Mbadala, Maabara ya Komputa, Maabara ya Seremala na Maabara ya Mitambo .

Latest News

More

Upcoming Events

More Events