Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Tue, Nov/22, 2022

BALOZI WA TANZANIA NCHINI AUSTRIA AKUTANA NA UONGOZI WA KIST.

Balozi wa Tanzania Nchini Austria Salestine Joseph Mushi amefika katika Taasisi ya Karume na kufanya mezungumzo na Uongozi wa Taasisi hiyo Pamoja na kufanya ziara katika maeneo mbali mbali ya Taasisi.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events