Posted: Mon, Jun/28, 2021
MAFUNZO YA WANAOTAKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE (FORM IV)
MAFUNZO YA WANAOTAKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE (FORM IV)
Masomo yatakayotolewa ni:
- Biology.
- Chemistry.
- Physics.
- Mathematics.
- Geography.
- English language.
Malipo ya form – 5,000/=
Malipo kwa masomo
- Somo moja (1) – 10,000/=
- Masomo mawili – 15,000/=
- Masomo matatu – 20,000/=
- Masomo zaidi ya matatu – 25,000/