Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Fri, Nov/04, 2022

WANAFUNZI WA KIST WAPEWA ELIMU

Maafisa TEHAMA kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia  ya Habari Tanzania wakitoa Elimu ya Usalama Mtandao (CYBER SECURITY) kwa Wafanyakazi na Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST), hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dk. Idrissa Muslim Hija katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events