Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Tue, Nov/29, 2022

WAKUFUNZI KUTOKA NIGERIA WAAGWA RASMIN KIST

Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya karume Zanzibar (KIST) Wakiwakabidhi zawadi Wakufunzi wanne kutoka Nchini Nigeria katika hafla ya kuwaaga mara baada ya  kumaliza muda wao wa kufundisha katika Taasisi ya Karume.

Wakufunzi hao walifundisha katika Taasisi ya Karume kwa muda wa Miaka mitatu , hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hija katika Taasisi ya Karume

Latest News

More

Upcoming Events

More Events