Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Wed, Sep/21, 2022

TAMAMI FOUNDATION YAFIKA TAASISI YA KARUME.

Wawakilishi kutoka Tamami Foundation iliyopo Matemwe Zanzibar wamefika na kutembelea Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), kwa lengo la kujua fani mbali mbali zinazotolewa na Taasisi hiyo, ili kuleta Wanafunzi wao kusoma na kupata ujuzi ambao utawasaidia katika maisha yao.

Tamami Foundation inasaidia kusomesha Wanafunzi ambao wanahali ngumu kimaisha kwa lengo la kujikwamua na kuondokana na hali hiyo.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events