Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Mon, Sep/20, 2021

Taarifa muhimu kwa wanafunzi wapya na wanaoendelea

  • Wanafunzi wote wanatakiwa kulipa ada na hosteli kwa wakati ili kuepusha usumbufu wakati wa usajili.
  • Kwa wanafunzi wapya wanatakiwa wakamilishe taarifa zote zinazohitajika kwenye join instruction.
  • Join instruction kwa diploma bofya hapa na kwa degree bofya hapa
  • Na kwa wanafunzi wanaondelea wanatakiwa wajaze fomu hii bofya hapa kupata fomu

Latest News

More

Upcoming Events

More Events