Posted: Mon, Oct/11, 2021
Gharama za Makazi kwa Wanafunzi wapya na wanaoendelea na masomo katika ngazi ya shahada ya kwanza
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi watarajiwa wa kwana wa kwanza na wanaoendelea ambao walikusudia kuishi katika dakhalia za Taasisi kwamba wanatikiwa kuomba na kuthibitisha uhitaji huo kwa kupiga namba 0773523063 . haraka iwezekanavyo
Aidha wanatakiwa kufanya malipo kupitia account number 0404391002 The People Bank of Zanzibar.
Kwa utaratibu Ufuatao
- Kwa dahalia za ndani ya chuo: 195,000/=
- Kwa dahalia za nje ya chuo: 250,000/= (Ni Nzuri)