Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Wed, Aug/31, 2022

UONGOZI WA KAMPUNI YA 360 ECO GROUP UMEFIKA KIST

Uongozi wa  Kampuni ya (360 ECO GROUP)  inayojishughulisha na maswala ya Usafiri wa Mabasi yanayotumia  Gesi asilia kutoka Austria, umefika katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), na kufanya mazungumzo na  Uongozi wa Taasisi ya Karume kuhusu kufanya Uwekezaji wa Kituo kitakachotoa mafunzo kwa Madereva na kutengeneza Magari yanayotumia Gesi asilia 

Latest News

More

Upcoming Events

More Events