Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Thu, Dec/01, 2022

WADAU KUTOKA IDARA YA CIVIL ENGINEERING WAFIKA KIST.

Wadau wa Idara ya Civil Engineering kutoka Taasisi tofauti wakiwa katika Kongamano la Miaka 50 ya Idara ya Civil Engineering , katika Kongamano hilo walijadili namna gani wanaweza kuiboresha Idara ya Civil katika Taasisi  ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST) ili waweze kuleta mabadiliko ya Miundombinu ya Majengo ya Idara hiyo katika Taaasisi ya karume.

Kongamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hija katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events